Tarehe ya kuwekwa: March 9th, 2019
Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya sumbawanga wametoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye samani ya shilingi 257800 kwa wafungwa wa gereza la mkoa wa Rukwa siku ya maadhinisho ya siku ya wanawake Duni...
Tarehe ya kuwekwa: February 14th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Sumbawawanga Dr Khalfani Haule ametoa wito kwa wananchi wa vijiji vya Sandululu, Mpwapwa na Msandamuungano kutumia fursa ya kampeni ya uhamasishaji kwa wananchi kuchukua hatua ya kup...
Tarehe ya kuwekwa: January 28th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga imepitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2019/2020 yenye thamani ya shilingi 33,481,657,980/= katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi w...