• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Elimu Sekondari

 UTANGULIZI

Ili kufikia utekelezaji wa sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya Mwaka 2019 na 2020, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kupitia idara ya Elimu Sekondari inahakikisha utoaji wa elimu bora unafanikiwa kwa kutekeleza mambo yafuatayo:-

  • Kuendelea Kuboresha mazingira na vifaa vya kufudishia na kujifunzia kwa kujenga Miundombinu na upatikanaji wa samani zinayotosheleza mahitaji.
  • Kudahili wanafunzi wote wanaofaulu kuanza kidato cha kwanza na cha tano na kuhakikisha wanasoma na kuhitimu.
  • Kuhakikisha utoaji wa elimu bora inayowezesha wanafunzi kufaulu mitihani yao na kuweza kujiunga na elimu za juu, vyuo vya ufundi na kuweza kujiajiri wenyewe.
  • Kuhakikisha wanafunzi wote wenye ulemavu na wenye sifa za kujiunga na elimu ya sekondari wanaandikishwa na;
  • Kuhakikisha walimu/watumishi wanaoajiriwa wana sifa za kutosha na wanapata fursa ya kujiendeleza kielimu na kitaalamu ili kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kwa ufanisi zaidi.

IDADI YA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ina jumla ya shule za sekondari 23 kati ya hizo 17 ni za serikali na 6 ni za Mashirika / watu binafsi.

A: Kidato cha kwanza hadi cha Nne.

 SN.
SHULE
 IDADI YA SHULE
1.
Za Serikali
17
2.
Za Binafsi
6
JUMLA
23

    • B: Kidato cha Tano na Sita.
SN.
 SHULE
IDADI YA SHULE
JINA LA SHULE
1.
Za Serikali
04
Kipeta, Vuma, Uchile na Mpui Sekondari
 2.
Za Binafsi
01
Kaengesa Seminari
JUMLA
05



  • IDADI YA WANAFUNZI WALIOPO KATIKA KILA SHULE 

  • A: Wanafunzi Shule za Serikali.
SN.
JINA LA SHULE
WAVULANA
WASICHANA
JUMLA
1
Ilemba
353
243
596
2
Kaoze
189
145
334
3
Kapenta
53
37
90
4
Kikwale
189
130
319
5
Kipeta
257
190
447
6
Kwela
260
272
532
7
Lula
32
33
65
8
Lusaka
207
182
389
9
Makuzani
257
197
454
10
Mazoka
369
307
676
11
Miangalua
330
339
669
12
Milenia
158
146
304
13
Mpui
279
366
645
14
Mzindakaya
468
345
813
15
Uchile
325
517
842
16
Unyiha
149
76
225
17
Vuma
465
278
743
JUMLA
4340
3803
8143


  •  B: Wanafunzi Shule za Binafsi.
SN.
JINA LA SHULE
WAVULANA
WASICHANA
JUMLA
1
Fingwa
33
38
71
2
Kaengesa Seminary
237
0
237
3
Laela
82
63
145
4
Memya
56
38
94
5
Nankanga
46
43
89
6
Sichowe
54
39
93
JUMLA
508
221
729




Matangazo

  • Baraza la Mitihani Tanzania latangaza matokeo ya darasa la saba 2024 October 29, 2024
  • Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu Ngazi Ya Cheti Na Diploma 2024 Yametangazwa July 13, 2024
  • Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu Ngazi Ya Cheti Na Diploma 2024 Yametangazwa July 13, 2024
  • Orodha ya asasi zilizopata kibali cha uangalizi wa uboreshaji wa daftari mwaka 2024/2025 June 26, 2024
  • Tazama

Habari Mpya

  • Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024

    September 05, 2024
  • Makabidhiano ya ofisi

    August 21, 2024
  • CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUKWA CHAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

    July 25, 2024
  • Utekelezaji wa Agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa

    May 25, 2024
  • Tazama

Video

Kutekeleza Agizo la Waziri Mkuu
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 0754634811

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa