Tarehe ya kuwekwa: August 21st, 2021
Katika mwaka wa fedha 2020/2021, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga imefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi 28,847,443,909.99 kutoka katika vyanzo mbalimbali kati ya TZS 33,073,542,339 ya lengo la mw...
Tarehe ya kuwekwa: August 11th, 2021
Kaimu Mkurugenzi wa Kwanza Kushoto Ndugu Wilfred Lazaro, akimkabidhi Ofisi Mkurugenzi Mteule Ndugu Lightness Msemo baada ya kuripoti katika ofisi za Mkurugenzi Mtendaji Sumbawanga(W) zilizopo mji mdog...
Tarehe ya kuwekwa: July 4th, 2021
UTOAJI WA MIKOPO KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021
Mifuko ya Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Walemavu ilianzishwa kwa ajili ya kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwa makundi ya Wanawake, Vijana na Watu ...