Tarehe ya kuwekwa: January 17th, 2021
Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga limepitisha bajeti ya shilingi 31,545,302,988.51 leo tarehe 16/1/2021 katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa chuo cha kilimo katika ...
Tarehe ya kuwekwa: December 17th, 2020
Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunziwaliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwakujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021.
Kaulihiyo ime...
Tarehe ya kuwekwa: November 22nd, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa mara ya kwanza imefanya kikao cha baraza lake la madiwani kwenye makao makuu mapya yaliyopo katika Mamlaka ya mji mdogo Laela. Kikao hicho kilifanyika siku ya A...