• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Rasilimali Watu

Majukumu ya Idara ya Utawala na Rasilimali watu:

  • Idara  hii ina lengo la kuziwezesha Idara nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala bora.
  • Kutoa huduma za ujumla za uangalizi wa vifaa vya ofisi na majengo
  • Kuratibu utekelezaji wa jukumu la kuimarisha Nidhamu ikijumuisha utoaji wa elimu ya kuzuia Rushwa.
  • Kuratibu utekelezaji wa masuala mtambuka kama Jinsia, Ulemavu, HIV/AIDS kwenye ngazi ya Halmashauri
  • Kushirikiana na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma – Tume/Sekretarieti ya Ajira juu ya masuala yote yanayohusiana na Ajira na Uteuzi wa watumishi.
  • Kushauri juu ya ufanisi wa kitaasisi wa Sekretarieti ya Halmashauri.
  • Kusimamia hatua/Mchakato wa kuwathibitisha na kuwapandisha vyeo/madaraja watumishi wa Halmashauri.
  • Kuwezesha mafunzo ya rasilimaliwatu na maendeleo (taaluma, weledi, kuboresha ujuzi) ngazi ya Halmashauri
  • Kusimamia mishahara na kushauri juu ya kusimamia mfumo/orodha ya malipo ya mshahara
  • Kusimamia utekelezaji wa mfumo wa wazi wa mapitio na upimaji wa utendaji wa kazi (OPRAS)
  • Kushughulikia na kuhuisha taarifa za watumishi kama Likizo za mwaka, likizo za uzazi na matibab, ruhusa za mafunzo/masomo na watumishi kuondoka kazini
  • Kushughulikia upatikanaji wa huduma zinazohusiana na watumishi kuondoka kwenye utumishi (kustaafu, kujiuzulu n.k)
  • Kuratibu kamati ndogo ya Ajira na Uteuzi ya Halmashauri.
  • Kuratibu na kushughulikia malalamiko na mashitaka
  • Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa juu ya masuala yanayohusu rasilimaliwatu
  • Kusimamia upatikanaji wa huduma za Habari, Elimu na Mawasiliano kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa
  • kuratibu utekelezaji wa sera ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na sheria nyingine zinazohusiana na Utawala na Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
  • kuratibu masuala ya Mahusiano na Ustawi wa Wafanyakazi ikiwa na pamoja na masuala ya Afya, Usalama, Michezo na Utamaduni
  • kuratibu maandalizi, utekelezaji, usimamizi na tathimini ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga.
  • Kusimamia utendaji wa kazi wa ngazi za chini, kata, vijiji na vitongoji
  • kutoa huduma za Kihitifaki/Itifaki katika ngazi ya Halmashauri ya Wilaya.
  • kuratibu huduma za Ulinzi, Usafi na utunzaji Ofisi, majengo na maeneo/viwanja vya ofisi na huduma za Usafiri
  • Kushughulikia uhamisho wa watumishi
  • Kushugulikia masuala ya nidhamu: Kushauri hatua zinazostahili kwa watumishi wenye makosa mbalimbali ya kiutumishi kulingana na Kanuni za utumishi wa umma
  • Kuratibu maandalizi ya bajeti ya mishahara ya watumishi wote na matumizi mengineyo kwa idara ya utawala na Utumishi.
  • Kushughulikia masuala yote ya Utawala Bora likiwemo na suala la masanduku ya maoni katika ngazi za Halmashauri, kata, vijiji na vitongoji na kuhakikisha kuwa maoni hayo yanafanyiwa kazi na kurudisha mrejesho kwa wakati
  • Kushughulikia matatizo na migogoro inayotokana na mikutano ya Halmashauri, Kata, vijiji na vitongoji
  • Kushughulikia uhamisho wa watumishi
  • Kushugulikia masuala ya nidhamu: Kushauri hatua zinazostahili kwa watumishi wenye makosa mbalimbali ya kiutumishi kulingana na Kanuni za utumishi wa umma
  • Kuratibu maandalizi ya bajeti ya mishahara ya watumishi wote na matumizi mengineyo kwa idara ya utawala na Utumishi.
  • Kushughulikia masuala yote ya Utawala Bora likiwemo na suala la masanduku ya maoni katika ngazi za Halmashauri, kata, vijiji na vitongoji na kuhakikisha kuwa maoni hayo yanafanyiwa kazi na kurudisha mrejesho kwa wakati
  • Kushughulikia matukio mbalimbali katika Halmashauri ikiwemo Vifo, Ajali, nk
  •  Kushughulikia matatizo na migogoro inayotokana na mikutano ya Halmashauri, Kata, vijiji na vitongoji

Matangazo

  • Matokeo ya kidato cha nne 2022 yatangazwa. January 29, 2023
  • Matokeo ya kidato Cha pili yatangazwa. January 04, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha kwanza mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa. December 01, 2022
  • Tazama

Habari Mpya

  • TAARIFA YA UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI 31 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI NA YA TATU 2022/2023 KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI MIKOPO ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA

    March 24, 2023
  • Taarifa Ya Utoaji Wa Misaada Kwa Wahitaji Siku ya Wanawake Duniani

    March 08, 2023
  • Taarifa Ya Makabidhiano Ya Safu Zamilima Ya Lyamba lyamfipa Na Msitu Wa Hifadhi Ilemba Kwa Wakala Wa Huduma Za Misitu

    February 28, 2023
  • Kikao cha Baraza Wah. Madiwani kwa aajili ya kujadili na kupitisha bajeti

    February 06, 2023
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa