Majukumu Ya Jumla:
Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada wananchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.
Majukumu Maalumu Ya Kamati:
Kamati Ya Kudumu Ya Kudhibiti UKIMWI:-
Idadi ya waathirika, wagonjwa, yatima, wajane.
Kasi ya maambukizo.
Mazingira maalum yanayochangia maambukizo.
Uelewa wa wananchi juu ya janga hili.
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa