• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira

Majukumu Ya Jumla:


Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, biashara n.k. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la maendeleo ya ardhi na hifadhi ya mazingira.

Majukumu Maalum Ya Kamati:

 

  • Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato na upanuzi huo.
  • Kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo la Halmashauri.
  • Kusimamia matumizi sheria ya nguvu kazi.
  • Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko, minada, majosho na vituo vya mifugo.
  • Kushughulikia uanzishaji na uendeleaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa sheria ya vyama vya Ushirika.

 


Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kazini. August 02, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 29, 2021
  • Matokeo ya kidato Cha pili na Cha nne 2021/2022. January 15, 2022
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA. June 24, 2022
  • Tazama

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 16, 2022
  • Kikao cha Baraza Wah. Madiwani kwa aajili ya kujadili taarifa za robo ya tatu

    May 29, 2022
  • MH.MKIRIKITI ARIDHISHWA NA MRADI WA JENGO LA UTAWALA HALMASHAURI YA WILAYA SUMBAWANGA

    May 19, 2022
  • UTOAJI WA MIKOPO TAREHE 04/02/2022.

    February 05, 2022
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa