Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya sumbawanga wametoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye samani ya shilingi 257800 kwa wafungwa wa gereza la mkoa wa Rukwa siku ya maadhinisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika marchi 8, 2019.
Baada ya kutoa msaada huo walielekea katika mamlaka ya mji mdogo Laela ambapo mgeni rasmi likuwa Bi. Fatuma Hasan Tsea, aidha mgeni rasmi katika hotuba yake aliwaponeza sana watumishi hao kwa moyowao wa kujitolea na kuwajali watu wenye shida. Pia alizindua vyoo vilivyojengwa kwa kutumia chupa za maji kwa ajili ya kuwasitiri wanafunzi wa kike pindi wakiwa katika hedhi
Pia mgeni rasmi aliwasihi wanawake wajitokeze kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wakati wa uchaguzi.
Mbli na hayo pia aliwasihi wanawake wajiunge katika vikundi ili waweze kupata mikopo kutoka taaisi za kifedha.
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa