Mkuu wa wilaya ya Sumbwanga Nyakia Ally Chirukile leo tarehe 09/11/2023 amekutana na Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga na Halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga ambacho ni kikao maalumu kwaajili ya kuzungumzia mbinu za kukabiliana majanga kwenye maeneo yao ya utawala.
Kikao hiki ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa kimehusisha Watumishi wa makao makuu Kata na Vijiji.
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa