Friday 9th, May 2025
@Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Ndg. Joachim Wangabo anatarajia kufanya ziara katika Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga kuanzia August 29 hadi Augusti 31 2018. Lengo la ziara hiyo ni kukagua shughuli za maendeleo, kuongea na wananchi katika mikutano ya hadhara, kufahamu utekelezaji wa maagizo ya kukabiliana na changamoto za utoro mashuleni, mimba za utotoni, ujenzi wa shule shikizi kwa maeneo yasiyo na shule, ufaulu usioridhisha wa darasa la saba, kutembelea vijiji ambavyo havina shule kabisa na kupokea taarifa ya uhamasishaji wa wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF)
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa