Friday 9th, May 2025
@Uwanja wa Nelson Mandela
Mei Mosi ni siku ya Wafanyakazi Duniani; siku ya mshikamano na wafanyakazikatika kusimamia na kuunga mkono haki, wajibu na dhamana ya wafanyakazi katikamchakato wa maendeleo endelevu! Kazi ni utimilifu wa utu na heshima yabinadamu. Kazi inapaswa kupewa hadhi yake inayofumbatwa katika ubinadamu.
Maadhimisho ya mei mosi kitaifa yameadhimishwa Mkoani Iringa katika uwanja wa Samora na mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Kimkoa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yamefanyika manispaa ya Sumbawanga katika uwanja wa Nelson Mandela na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa. kauli mbiu ya mwaka huu ni " KUUNGANISHWA KWA MIFUKO YA JAMII KULENGE KUBORESHA MAFAO YA WAFANYAKAZI".
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa