Monday 11th, December 2023
@Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga inatarajia kupokea Mwenge wa uhuru tarehe 20/9/2021 saa 8:00 asubuhi katika Shule ya msingi Tunko kata ya Miangalua.
Mwenge wa Uhuru utapokewa kutoka Mkoa wa Songwe kisha kukimbizwa katika Halmashauri na baadae kukabidhiwa Halmashauri ya Kalambo
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 255755023952
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa