Friday 9th, May 2025
@MBEYA
Maadhimisho ya sherehe ya nanenane mwaka 2019, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga itafanya maadhimisho hayo kwa ngazi ya Wilaya kuanzia tarehe 28-29/07/2019 katika viwanja vya Shule ya msingi Ilemba iliyoko kata ya Ilemba Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga na Kikanda itaazimisha kuanzia tarehe 01/08/2019 hadi tarehe 08/08/2019 Jijini Mbeya.
kauli mbiu ya mwaka huu 2019 ni “Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ukuaji wa Uchumi wa Nchi”.
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa