Friday 9th, May 2025
@LAELA
08/08/2020 ni kilele cha maazimisho ya sherere za nanenane. Maazimisho hayo yalianza mnamo tarehe 01/08/2020. Kwa upande wa ngazi za Halmashauri, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga itahitimisha sherehe hizo kwenye viwanja vya Laela mahala ambapo maadhimisho hayo yanafanyika siku ya tarehe 09/08/2020
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa