• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)

Majukumu Ya Jumla:

Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada wananchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.

Majukumu Maalumu Ya Kamati:

  1. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati.
  2. Kuandaa mipango ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elemu ya watu wazima kwa mujibu wa sheria ya elimu ya mwaka 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.
  3. Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo, viwanja na majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo.
  4. Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali zenye sura nzuri.
  5. Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa sheria ya Serikali za mitaa sura ya 287.
  6. Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za moanyesho kwa mujibu wa sheria ya Serikali za mitaa sura ya 287.
  7. Kupendekeza matumizi mzuri ya lugha ya taifa.
  8. Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa.
  9. Kusimamia uanzishaji wa uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera wa maendeleo ya jamii.
  10. Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya Serikali za Mitaa.
  11. Kupendekeza na kufanya tathimini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa.
  12. Kubuni na kupendekeza namna ya kudhibiti moto .
  13. Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala, kuzuia ukataji miti ovyo, na kuhimiza upandaji miti kwa wingi.
  14. Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
  15. Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla.
  16. Kupendekeza sheria ndogo zinazohusu kamati hizi.

 

Kamati Ya Kudumu Ya Kudhibiti UKIMWI:-

  1. Kushirikisha wadau tofauti katika maeneo husika ili kuongeza uchangiaji wa mawazo na /au nyenzo, usimamizi, utaratibu na utekelezaji wa kazi za tume za kudhibiti UKIMWI.
  2. Kusimamia uundaji wa kamati zote za kudhibiti UKIMWI.
  3. Kupendekeza na kuchambua hali ya UKIMWI/mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husika kwa hatua zaidi.
  4. Kutathimini hali ya UKIMWI katika eneo lake kuhusu:-

Idadi ya waathirika, wagonjwa, yatima, wajane.

Kasi ya maambukizo.

Mazingira maalum yanayochangia maambukizo.

Uelewa wa wananchi juu ya janga hili.

  1. Serikali haitatoa fedha kwa Halmashauri isiyokuwa na mipango madhubuti ya kudhibiti UKIMWI.
  2. Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila motto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo.
  3. Kuweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za elimu na afya.
  4. Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya milipuko.
  5. Kupendekeza sheria ndogo za kamati hii.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA April 05, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SUMBAWANGA VIJIJINI 2021 December 19, 2020
  • Tangazo la kuitwa kazini June 20, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • MAPENDEKEZO YA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    January 17, 2021
  • WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021

    December 17, 2020
  • Halmashauri yafanya kikao cha kwanza cha baraza la madiwani katika makao makuu mapya.

    November 22, 2019
  • Ziara ya Waziri wa nishati Mh. DKT. Medard Kalemani Kata ya Milepa.

    August 28, 2019
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Sicksheet Form
  • Leave form
  • Kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Description form for pledge of integrity for civil servants

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa