• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

UTOAJI WA MIKOPO TAREHE 04/02/2022.

Tarehe ya kuwekwa: February 5th, 2022

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

TAARIFA YA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA MIKOPO TAREHE 04/02/2022.

  • UTANGULIZI

Mifuko ya Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Walemavu ilianzishwa kwa ajili ya kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwa makundi ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu. Mifuko hii  inaendeshwa chini ya Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu za mwaka 2019; kanuni hizi zimetungwa kwa lengo la kutekeleza sheria ya Fedha ya Serikali za Mitaa sura Na. 20 chini ya Kifungu cha 37A (4).

Chini ya Kanuni hizo, Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) inakuwa na wajibu wa kutenga asilimia kumi ya mapato yanayokusanywa kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya mapato kwa ajili ya kutoa mikopo kwa vikundi vilivyosajiliwa vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Kiasi hicho kilichotengwa hutolewa kwa Vikundi Vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu kwa vigezo vilivyoainishwa katika kanuni hizo.

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

Kwa kipindi cha miaka mi nne 2018/2019 hadi 2021/2022 Halmashauri imetoa mikopo yenye jumla ya shilingi 607,000,000 na imefanikiwa kurejesha kiasi cha shilingi 23,0717,200 na fedha ambayo haijalejeshwa ni shilingi 375,202,800, Katika deni hili kiasi cha shilingi 300,974,400 vikundi viko ndani ya mda wa marejesho na shilingi 74,228,400 vikundi viko nje ya mda wa marejesho. Fedha hizo zimetolewa kwa kila mwaka kama ifuatavyo:-

  • Kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Halmashauri ilitoa mikopo yenye thamani ya Jumla ya shilingi 97,000,000 kwenye vikundi 19, katika fedha hizo kiasi cha shilingi zimerejeshwa  shilingi  83,295,000 na hazijareheshwa shilingi 12,945,000 vikundi viko nje ya muda wa marejesho
  • Kwa mwaka wa fedha 2019/2020Halmashauri ilitoa mikopo yenye thamani ya Jumla ya shilingi 168,000,000 kwenye vikundi 38, katika fedha hizo kiasi cha shilingi zimerejeshwa  na shilingi  106,396,600 na  hazijareheshwa 61,283,400 na vikundi viko nje ya muda wa marejesho
  • Kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Halmashauri ilitoa mikopo yenye thamani ya Jumla ya shilingi 141,000,000 kwenye vikundi 31
  • Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri ilitoa mikopo yenye thamani ya Jumla ya shilingi    201,000,000 kwenye vikundi 36.
  • MIKAKATI WA KUHAKIKISHA FEDHA ZILIZO KOPESHWA ZINAREJESHWA 

Kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashari imejiwekea mikakati  ya kuhakikisha kuwa inaongeza ukusanyaji wa marejesho kwa kufanya yafuatayo :-

  • Kufanya mikutano ya WDC na VDC katika kata ambazo watendaji wa kata na vijiji wanamwitikio mdogo wa ufuatiliaji wa marejesho
  • Kufanya ufuatiliaji wa marejesho kwa kila kikundi  kila mwezi kwa kutumia fedha za marejesho kama mwongozo unavyoelekeza
  • Kufanya operation maalum kwa vikundi vvenye
  • HITIMISHO

Pamoja na Halmashauri kuwa na majukumu mengi ambayo utekelezaji wake unategemea fedha za mapato ya ndani, bado Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Walemavu utaendelea kupewa kipaumbele ili makundi haya yaweze kuendelea kuwezeshwa kuchumi kwa ajili ya maendeleo yao na nchi kwa ujumla.

Nawasilisha.

  • LIGHTNESS MSEMO
  • MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 10, 2025
  • Baraza la Mitihani Tanzania latangaza matokeo ya darasa la saba 2024 October 29, 2024
  • Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu Ngazi Ya Cheti Na Diploma 2024 Yametangazwa July 13, 2024
  • Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu Ngazi Ya Cheti Na Diploma 2024 Yametangazwa July 13, 2024
  • Tazama

Habari Mpya

  • Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024

    September 05, 2024
  • Makabidhiano ya ofisi

    August 21, 2024
  • CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUKWA CHAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

    July 25, 2024
  • Utekelezaji wa Agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa

    May 25, 2024
  • Tazama

Video

Kutekeleza Agizo la Waziri Mkuu
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 0754634811

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa