• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKURUGEZI HALMASHAURI YA SUMBAWANGA

Tarehe ya kuwekwa: August 11th, 2021

Kaimu Mkurugenzi wa Kwanza Kushoto Ndugu Wilfred Lazaro, akimkabidhi Ofisi Mkurugenzi Mteule Ndugu Lightness Msemo baada ya kuripoti katika ofisi za Mkurugenzi Mtendaji Sumbawanga(W) zilizopo mji mdogo wa Laela.

Tukio hili la makabidhiano limeshuhudiwa na Ndugu Kalolo Ntilla Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga.

 Baada ya kukabidhiwa ofisi, aliomba ushirikiano wa kazi kutoka kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga pamoja na wah madiwani.

Pia amesisitiza suala la ukusanyaji wa mapato na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na kuibua miradi ya kimkakati.

 Mwisho amesisitiza suala la nidhamu kwa watumishi ikiwa ni pamoja na uwajibikaji wenye tija kwa kila Mkuu wa Idara na Vitengo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 29, 2021
  • Matokeo ya kidato Cha pili na Cha nne 2021/2022. January 15, 2022
  • Taarifa ya Mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 July 30, 2018
  • Baraza la mitihani latangaza matokeo ya darasa la saba (PSLE) 2018 October 23, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • MH.MKIRIKITI ARIDHISHWA NA MRADI WA JENGO LA UTAWALA HALMASHAURI YA WILAYA SUMBAWANGA

    May 19, 2022
  • UTOAJI WA MIKOPO TAREHE 04/02/2022.

    February 05, 2022
  • Ziara Ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb).

    January 20, 2022
  • Ziara ya Mh. David Silinde Naibu Waziri TAMISEMI

    November 26, 2021
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa