• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Kikao Cha Baraza La Madiwani Katika Kipindi Cha Robo Ya Kwanza Ya Mwaka 2023/2024 Kimefanyia Kazi Mashauri Ya Kinidhamu Ya Watumishi Sita (6) Na Kuwafukuza Kazi watumishi hao.

Tarehe ya kuwekwa: October 26th, 2023

Kwa mujibu wa sheria ya Utumishi Umma  sura namba 298 marejeo ya Mwaka 2019 kifungu cha 6 (6) Mamlaka ya kuajiri, kudhibitisha kazini, kupandisha vyeo na nidhamu kwa Watumishi wa Umma katika Serikali za Mitaa ni Baraza la Madiwani.

Hivyo jumla ya Watumishi sita (06) wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali ambao taratibu zimekamilika mpaka hatua ya  uchuguzi kwa mujibu wa kanuni ili Baraza tukufu limetoa maamuzi na hatimaye kuhitimisha.

Orodha ya Watumishi waliofukuzwa kazi na makosa yao

Albert Albert Stima, Mteknolojia Maabara Mwandamizi Anatuhumiwa kutenda kosa la kujipatia ajira isivyo halali kwa kutumia cheti cha taaluma cha kughushi Kutenda au kutokutenda jambo kinyume na dhamira au tabia njema ya Utumishi wa Umma (moral turpitude) Kinyume na kipengele cha 1 cha sehemu ‘A’ ya Jedwali la kwanza la Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022.

Andrew Charles Chifunda,

Muuguzi Daraja la II Anatuhumiwa kutenda kosa la kujipatia ajira isivyo halali kwa kutumia cheti cha taaluma cha kughushi na leseni ya uuguzi isiyo ya kwake Kutenda au kutokutenda jambo kinyume na dhamira au tabia njema ya Utumishi wa Umma (moral turpitude) Kinyume na kipengele cha 1 cha sehemu ‘A’ ya Jedwali la kwanza la Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022

Digna Elias Songolo,

Muuguzi Mkuu Daraja la II Anatuhumiwa kutenda kosa la kujipatia ajira isivyo halali kwa kutumia cheti cha taaluma Kutenda au kutokutenda jambo kinyume na dhamira au tabia njema ya Utumishi wa Umma (moral turpitude) Kinyume na kipengele cha 1 cha sehemu ‘A’ ya Jedwali la kwanza la Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022

 

Jema Richard Kibona

Muuguzi Daraja la I, Anatuhumiwa kutenda kosa la kujipatia ajira kwa kutumia cheti cha taaluma na leseni ya uuguzi ambavyo si vya vyake. Kutenda au kutokutenda jambo kinyume na dhamira au tabia njema ya Utumishi wa Umma (moral turpitude) Kinyume na kipengele cha 1 cha sehemu ‘A’ ya Jedwali la kwanza la Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022.

Mwajuma Dickson Halinga,Muuguzi Daraja la I, Anatuhumiwa kutenda  kosa la kujipatia ajira isivyo halali kwa kutumia cheti cha taaluma na leseni ambavyo si vya kwake. Kutenda au kutokutenda jambo kinyume na dhamira au tabia njema ya Utumishi wa Umma (moral turpitude) Kinyume na kipengele cha 1 cha sehemu ‘A’ ya Jedwali la kwanza la Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022

Peuritha Charles Makusa,

Cheo: Muuguzi Daraja la II, Anatuhumiwa kutenda  kosa la kujipatia ajira isivyo halali kwa kutumia cheti cha taaluma na leseni ambavyo si vya kwake. Kutenda au kutokutenda jambo kinyume na dhamira au tabia njema ya Utumishi wa Umma (moral turpitude) Kinyume na kipengele cha 1 cha sehemu ‘A’ ya Jedwali la kwanza la Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022

Matangazo

  • Baraza la Mitihani Tanzania latangaza matokeo ya darasa la saba 2024 October 29, 2024
  • Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu Ngazi Ya Cheti Na Diploma 2024 Yametangazwa July 13, 2024
  • Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu Ngazi Ya Cheti Na Diploma 2024 Yametangazwa July 13, 2024
  • Orodha ya asasi zilizopata kibali cha uangalizi wa uboreshaji wa daftari mwaka 2024/2025 June 26, 2024
  • Tazama

Habari Mpya

  • Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024

    September 05, 2024
  • Makabidhiano ya ofisi

    August 21, 2024
  • CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUKWA CHAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

    July 25, 2024
  • Utekelezaji wa Agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa

    May 25, 2024
  • Tazama

Video

Kutekeleza Agizo la Waziri Mkuu
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 0754634811

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa