Kama hujawahi pata salary slip kwa njia ya mtandao unapaswa ujisajili kwanza kwa kujaza fomu ya usajili inayopatikana mtandaoni ambayo inajumuisha vitu vifuatavyo
Ujumbe wa kudhibitisha usajili utatumwa kwenye barua pepe, utafungua barua pepe ya kwako na kubofya(click) ujumbe huo ili kudhibitisha usajili.
Baada ya kumaliza usajili, utaingia kwa kutumia barua pepe na neno la siri, utabofya taarifa za kiutumishi, angalia kwa juu kwenye menu bofya salary slip, bofya mwezi unaotaka kisha bofya print
Kujisajili Bofya hapa. Kama umejisajili Bofya hapa
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa