Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga inajihusisha na ufugaji wa ng'ombe wa nyama na ng'ombe wa maziwa, ufugaji wa mbuzi, kondoo, kuku wa mayai na kuku wa nyama, kanga na bata. Pia tunafuga ng'ombe maksai ambao wanatumika kwenye kazi ya kulima mashamba na kuhamisha mazao kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa maeneo ambayo hayana miundombinu ya usafiri wa magari.
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa