Mwenyekiti wa kamati ya sensa Wilaya Mh.Sebastian Waryuba Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga anayo furaha kuwatangazia wote waliomba nafasi mbali mbali kwenye zoezi la sensa kuja kwenye usaili.
Kusoma barua ya maelekezo bonyeza hapa Barua ya kuitwa kwenye usaili.pdf
Kusoma orodha ya majina ya walioitwa bonyeza hapa Orodha ya ajina kwa walioitwa kwenye usaili.pdf
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa