Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa kushirikiana na Walter Reed anawatangazia Waombaji wa kazi ya Mkataba wa Mwaka mmoja kuwa usaili utafanyika tarehe 26 Oktoba, 2022 kwa nafasi 02 za Tabibu Daraja la II (Clinical Officer Grade II) kama Tangazo lenye Kumb.Na.SDC/ A120/ 2/ 240 la tarehe 28/ 09/ 2022 lilivyotangazwa. Kwa maelezo zaidi BONYEZA HAPA.....pdf
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa