Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga anawataka walio orodheshwa hapo chini kuripoti Kazini. Hii ni kutokana na kufaulu na kuchaguliwa katika Usaili uliofanyika tarehe 26 Oktoba, 2022 kwa nafasi ya Tabibu II (Clinical Officer II). Kwa maelezo zaidi BONYEZA HAPA.pdf
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 0754634811
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati MilikiĀ©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa