Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa kushirikiana na Walter Reed anakaribisha
naombi ya kazi ya Mkataba wa Mwaka mmoja kwa Watanzania wenye
sifa na uwezo wa kujaza nafasi 06 za kazi mbalimbali, ambazo ni:- Watunza Kumbukumbu
("Data Clerk") nafasi 04, na Tabibu Daraja la II (Clinical Officer Grade I ") nafasi 02.
Kwaaelekezo zaidi BONYEZA HAPA .pdf
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 255755023952
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa