Tarehe ya kuwekwa: December 1st, 2023
Awali ya yote tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kukubali kujumuika nasi katika siku hii muhimu tunapoadhimisha siku ya UKIMWI duniani inayofanyika katika Kata ya Laela tukijumuika na watanzania wenze...
Tarehe ya kuwekwa: November 17th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ni miongoni mwa Halmashauri 4 zilizomo katika Mkoa wa Rukwa.Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ina kanda mbili ambazo ni ukanda wa Bonde la ziwa Rukwa na ukanda wa...
Tarehe ya kuwekwa: November 9th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Sumbwanga Nyakia Ally Chirukile leo tarehe 09/11/2023 amekutana na Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga na Halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga ambacho ni kikao maalumu k...