• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Ziara ya Waziri wa nishati Mh. DKT. Medard Kalemani Kata ya Milepa.

Tarehe ya kuwekwa: August 28th, 2019

Waziri wa Nishati Mh. DKT. Medard Kalemani amefanya ziara ya kugagua mradi wa upelekaji wa umeme katika kata ya Milepa iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga na kituo cha afya milepa. Ziara hiyo imefanywa siku ya Jumanne tarehe 27/08/2019 katika viwanja vya Milepa.  

Baada ya kukagua mradi huo Mh. Waziri alipata fursa ya kuongea na wananchi wa kata ya Milepa Waliokuwa wamehudhuria kwenye mkutano huo. Mh. Waziri alielezwa na Diwani wa kata hiyo Mh. Apornali Macheta kwamba wananchi wa kata ya Milepa wanashauku kubwa ya kupata umeme kwenye kata yao kwa kuwa kata yao ni miongoni mwa kata ambazo zinakua kwa kasi na wananchi wake wanajituma katika shughuli za maendeleo  ambazo zinahitaji uwepo wa nishati ya umeme.

 Mh. Diwani wa kata ya Milepa alimweleza Mh. Waziri kuwa pia kuna kituo cha Afya Milepa ambacho ni kituo kikubwa ambacho nacho kinahitaji uwepo wa nishati ya umeme lakini mpaka sasa bado shirika la Tanesco halijaweka umeme.

Baada ya kumsikiliza Mh. Diwani wa kata ya Milepa, Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga na Mh. Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Mh. Waziri wa Nishati Mh. DKT. Medard Kalemani alitoa maagizo yafuatayo kwa uongozi wa Tanesco:-

  • Kufika tarehe 16/09/2019 umeme uwe umewashwa kituo cha afya Milepa.
  • Kazi ifanyike usiku na mchana.
  • Kesho ofisi ya Tanesco ifunguliwe kata ya Milepa ili kuwezesha huduma kupatikana kwa urahisi.
  • Kazi ianze leo na mkandarasi abaki hapa na achukue vibarua 100 kutoka Milepa.
  • Vijiji vyote vitakavyopitiwa na waya washushe umeme kwenye vijiji hivyo.
  • Vitongoji vyote vya Milepa viwashwe umeme tarehe 16/09/2019.
  • Wananchi wafanye wiring katika majumba yao.

Mwisho aliwataka wananchi kushirikiana kwa pamoja kuhakikisha Tanzania ya Viwana inawezekana kwa kiwango kikubwa.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA April 05, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SUMBAWANGA VIJIJINI 2021 December 19, 2020
  • Tangazo la kuitwa kazini June 20, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • MAPENDEKEZO YA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    January 17, 2021
  • WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021

    December 17, 2020
  • Halmashauri yafanya kikao cha kwanza cha baraza la madiwani katika makao makuu mapya.

    November 22, 2019
  • Ziara ya Waziri wa nishati Mh. DKT. Medard Kalemani Kata ya Milepa.

    August 28, 2019
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Sicksheet Form
  • Leave form
  • Kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Description form for pledge of integrity for civil servants

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa