Mh. Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt Khalifany Haule akiwa na Kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya amekagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinambo ikiwa ni utaratibu aliojipangia wa kutembelea miradi inayotekelezwa kwa Mwaka wa fedha 2016/2017.
Akiwa katika kijiji hicho amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Ndg Nyangi Msemakweli kuhakikisha jengo hilo linakamilka kwa wakati na lianze kutumika, na ameupongeza Uongozi wa Kijiji na Kata kwa kisimamia miradi ya Maendeleo katika kijiji hicho. Jengo hilo mpaka litakapo kamilika litagharimu shilingi 100,170,000 za Kitanzania
SUMBAWANGA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 229
Simu ya Mezani: 025-2802133
Simu ya Kinganjani: 255755023952
Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz
Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa