• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Utaratubu Wa Kupata Mikopo Kwa Vikundi Vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu.

Ili kikundi kipatiwe mkopo kupitia mfuko wa maendeleo ya wanawake, vijana na Watu Wenye Ulemavu ni lazima kiwe kimekidhi masharti ya msingi yafuatayo:

  • Kikundi cha Wanawake lazima kiwe na wanawake tu
  • Kikundi cha vijana lazima kiwe na vijana wa kike au kiume wenye umri wa kuanzia miaka 15-35
  • Kikundi cha wanawake umri ni kuanzia miaka 18 na kuendelea
  • Kikundi lazima kiwe na mradi endelevu ya kiuchumi.
  • Kikundi lazima kiwe kimesajiliwa/kuandikishwa na Taasisi yeyote inayotambulika kisheria
  • Kikundi lazima kiwe na makazi ya kudumu ndani ya Halmashauri ya Wilaya (kutambuliwe na Serikali za mitaa/Kijiji).
  • Kikundi ni lazima kiwe na miradi halali kwa mujibu wa sheria za Nchi ya Tanzania
  • Kikundi ni lazima kiwe na akaunti benki inayotambulika kisheriana na inayotumika
  • Kikundi lazima kiandike andiko la mradi ambao kinaombea mkopo.
  • Kikundi kitafanyiwa tathimini ya kiuchumi kulingana na andiko lao
  • Taarifa ya tathimini ya vikundi vinavyoomba mkopo hujadiliwa na kamati ya mkopo ya Wilaya na kutolewa maamuzi.
  • Kwa vikundi vinavyopitishwa na kamati kupatiwa mkopo, fedha za mkopo huingizwa moja kwa moja kwenye akaunti ya kikundi.
  • Kikundi hakitakiwi kujumuisha wajumbe wenye ajira rasmi
  • Riba ya mkopo ni asilimia 0 (0%) ya kiasi kinachokopeshwa
  • Muda wa marejesho ya mkopo ni mwaka mmoja (miezi 12) ikijumuisha muda wa matazamio (Grace Period) ya miezi mitatu

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA April 05, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SUMBAWANGA VIJIJINI 2021 December 19, 2020
  • Tangazo la kuitwa kazini June 20, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021

    December 17, 2020
  • Halmashauri yafanya kikao cha kwanza cha baraza la madiwani katika makao makuu mapya.

    November 22, 2019
  • Ziara ya Waziri wa nishati Mh. DKT. Medard Kalemani Kata ya Milepa.

    August 28, 2019
  • Ufunguzi wa maadhimisho ya sherehe za nanenane Mbeya

    August 05, 2019
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Sicksheet Form
  • Leave form
  • Kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Description form for pledge of integrity for civil servants

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa