• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Sumbawanga District Council
Sumbawanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango, na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji, Uthibiti wa Maji Taka
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Ufungaji wa Nyuki
      • Tehama
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya fedha utawala na mipango
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za jamii(Elimu, Afya na Maji)
      • Kamati ya ujenzi uchumi na mazingira
      • Kamati ya madili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti kuwepo Ofisini
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habrari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Historia

Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ilianzishwa mwaka 1984  chini ya sheria namba 7 ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga inakadiriwa kuwa na eneo la kilomita za mraba 8,871 Kati ya hizo kilomita za mraba 8,203 ni nchi kavu na kilomita za mraba 668 ni eneo la maji.

Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ina wastani wa Joto kwa mwaka la Nyuzi joto kati ya (24 na 27) kwa kiwango cha juu na kiwango cha chini cha Nyuzi joto (13 na 16). Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ipo Mita 1,700 kutoka usawa wa Bahari. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga imepakana na Wilaya mpya ya Kalambo kwa Upande wa Kusini magharibi, Nkasi upande wa Magharibi, Momba upande wa Mashariki na Chunya kwa upande wa Kaskazini.

Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga makao yake makuu yako Mjini Sumbawanga eneo la Bomani, Halmashauri ina Jimbo moja la Uchaguzi ambalo ni Kwela, Tarafa 4, Kata 27, Vijiji 114 na Vitongoji 463.

Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga inategemea kilimo kwa asilimia 90%. Mazao yanayolimwa Sumbawanga ni Mahindi,Mpunga,Maharage,Karanga, Ulezi,Mtama,Mihogo   na Alizeti,ambayo pia hutumika kama  mazao ya biashara . Asilimia 9 ya wananchi wa Halmashauri hujishughulisha na shughuli za uvuvi katika eneo la Ziwa Rukwa na (1%) hujishughulisha na ufugaji wa nyuki na biashara ndogondogo

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA April 05, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SUMBAWANGA VIJIJINI 2021 December 19, 2020
  • Tangazo la kuitwa kazini June 20, 2018
  • Tazama

Habari Mpya

  • MAPENDEKEZO YA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    January 17, 2021
  • WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021

    December 17, 2020
  • Halmashauri yafanya kikao cha kwanza cha baraza la madiwani katika makao makuu mapya.

    November 22, 2019
  • Ziara ya Waziri wa nishati Mh. DKT. Medard Kalemani Kata ya Milepa.

    August 28, 2019
  • Tazama

Video

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dr. Haule akiwaasa Maafisa elimu kata juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pikipiki walizokabodhiwa
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • YouTube
  • Sicksheet Form
  • Leave form
  • Kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Description form for pledge of integrity for civil servants

Potifolio Yetu

  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya Utumishi
  • Wizara ya Kilimo
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana Nasi

    SUMBAWANGA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 229

    Simu ya Mezani: 025-2802133

    Simu ya Kinganjani: 255755023952

    Barua pepe: ded@sumbawangadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Hati Miliki©2017. Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Haki zote zimehifadhiwa